Monday, October 27, 2008

Bush Achokoza Syria!

Wanajeshi wa Marekeni wamevamia mpaka wa Syria leo! Waliingia kupitia Iraq. WaSyria wanasema kuwa watu tisa walikufa wote raia wa kawaida. Marekani wanasema wlaimkuwa wanamtafuta gaidi fulani.

Hivi huyo Bush ana nini, anadhani akianza kuvamia nchi za watu atapendwa! Katika marais wote wa Marekani huyo George W. Bush ndo hapendwi! Ameharibu nchi!

Poleni watu wa Syria.

Kwa habari zaidi someni:

http://afp.google.com/article/ALeqM5idcYqma-8uXPWUzIwI5oujhh03gg

http://www.dailystar.com.lb/article.asp?edition_id=10&categ_id=2&article_id=97164

http://news.xinhuanet.com/english/2008-10/28/content_10262976.htm

2 comments:

Anonymous said...

Tumwombee maana nasikia kuna wazungu wameapa kuwa watamwua kabla ya siku ya kuapishwa mwezi Januari.

Anonymous said...

hafi mtu hapo, Mungu anasikia maombi ya watu wake.