Monday, October 20, 2008

Dume Akikojoa Hadharani!

Nilishawasema hao wanaume wanatoa dudu zao na kukojoa hadharani bila hata aibu! Jamaa kasimama na kashika dude lake kama vile ni mfalme wa hapo Ferry! Huyo nyuma yake sijui anaosha nini lakini inaelekea anaiosha na mkojo wa jamaa! Au anadhani kwa vile bahari ina maji ya chumvi haina madhara! Khaa!

Asante Michuzi Jr. (Jiachie blog) kwa hii picha.
Na mlioko Bongo hebu mpashe huyo jamaa kuwa atazame neti ajione akifanya ushenzi wake!

*************************************************************

3 comments:

Anonymous said...

Sasa huu ni ustaarabu gani jamani. Hivi kwa mtaji huu tutaweza kweli kuepuka magonjwa yanayoepukika?

Anonymous said...

Mtumee! Jamaa anaturingia chombo chake!

Anonymous said...

UCHAFU!