Monday, October 20, 2008

WAPI Zanzibar Oktoba 26, 2008

NI WAKATI MWIGINE TENA ZANZIBAR INAKUKARIBISHA KATIKA TUKIO LAKO LA KILA MWEZI

WAPI

ITAFANYIKA JUMAPILI TAREHE 26 OKTOBA NDANI YA UKUMBI WA NGOME KONGWE

MADA YA MWEZI HUU NI

TOKOMEZA UFISADI "Eradicate corruption/theft of public resources"

KUTAKUWA NA:
Mipambano ya wasanii jukwaani
Uchoraji
Ufumaji
Zavaa wataonyesha sanaa ya Henna kwenye kanvasi
Kizoro atatoa mada juu ya Sanaa na Ujasiriliamali
DJ Yusuf atazungumzia soko la muziki

WASANII WENGINE:
DOTCOM
MUDA CRIS
LIL GHETO
JI
TAN B
BLACK ROOTS BAND

Ni Bureee.......Karibuni

No comments: