Wednesday, October 08, 2008

Wimbo - Obama Ubarikiwe

Asante Dada Subi kwa kuleta hii lini. Wimbo mzuri sana.

"OBAMA UBARIKIWE!" (Obama be Blessed)

***********************************************
Umekisikia kibao cha Samba Mapangala (Orchestra Virunga) kwa jina "Obama Ubarikiwe"? 'That one'.... "my friends....." sikiliza: http://nukta77.com/matangazo.aspx

Subi

1 comment:

Anonymous said...

Nyimbo nzuri!

Obama anaendelea kuchanja mbuga kuelekea jumba jeupe, huku akimuacha babu hoi- akitapatapa.

Kiyama cha manyani, miti yote hutereza. Kashfa na vitisho vya kuogopesha watu havisaidii tena.

Obama abarikiwe.

Mdau,
London.