Friday, October 17, 2008

Baada ya Debate ya Alhamisi!!

Hii picha ilipigwa mara baada ya debate ya mwisho katika uchaguzi 2008.
John McCain alikosea njia mara baada ya kupeana mikono na Barack Obama. McCain anafaa kuwa kwenye Saturday Night Live.

No comments: