Friday, October 24, 2008

Zorse

Eclyse the Zorse
Eclyse ni women's libber hana time na huyo dume!!!

Eclyse akitembezwa kwa ajili ya watalii

Baada ya kuona ile picha ya Zonkey niliamua kutafuta wanyama wengine waliochanganya damu.
Nimempata huyo Zorse...yaani ni mchanganyika wa punda milia (Zebra) na farasi (Horse).
Zebra + Horse = Zorse

Huyo Zorse anaitwa Eclyse na yuko Ujerumani. Mama yake ni punda milia na baba yake ni farasi. Alizaliwa baada ya mama yake kupelekwa kwa muda mfupi kwenye ranch ya mafarasi huko Italia. Alivyorudishwa kwake kwenye Safari Park walishangaa kuona ana mimba na kuzaa shombe.
Kwa habari zaidi za Eclyse tembelea:

1 comment:

Anonymous said...

Duh! Hebu fikiria binadamu tungekuwa hivyo. Mtu aliyechanganya damu anatoka upande moja mweusi na upande mwingine mweupe. Mungu kafanya kazi kweli katika maumbile ya biandamu.