Saturday, June 28, 2008

Makengeza


ANGALIA HII PICHA KWA MAKINI KAMA HUIONI VIZURI UJUWE UNA MAKENGEZA!!!!!!!!
Asante mdau Masoud kwa kuniletea hii picha.

5 comments:

Anonymous said...

Chemi, hii picha inaniumiza macho! nadhani nikiiangalia sana kichwa kinaweza kuanza kunigonga.

Anonymous said...

DOH!

Anonymous said...

Do u look Down kwa wenye Makengeza?
Nadhani hukufikiria Mara Mbili wakati unapost hayo maneno,natumai utawaomba radhi

Anonymous said...

Hii picha niliwahi kuipata mwaka 2000 nikamtumia rafiki yangu wa uganda akanigombeza sana ,lakni mpaka leo zikufaham kwanini alimaind.
Anyway!Kem nina issue tofauti kidogo!,Hapa bongo kuna gazeti limeripoti kwamba Rais Bush huwa anatumia madawa ya kulevya (Concain) anapokuwa ikulu,je hii issue imekaaje uko?ipo kweli au ni mambo ya magazeti tu?

Anonymous said...

Hiyo habari ya yeye kutumia 'coke' huko white house wameuzima. Tunajua kuwa alikuwa anatumia kabla ya kuwa rais na katika 'ujana' wake.