Wednesday, August 20, 2008

Ajali ya Pikipiki huko Oklahoma

Hivi karibuni, kwenye saa saba za usiku (1:00am) jamaa alikuwa anaendesha lori karibu na Tulsa, Oklahoma. Alitokea jamaa aliyekuwa anaendesha pikipiki kwa kasi 120mph (240kilometres) kwa saa. Dereva alisikia kitu kikigonga lori lakini aliendelea kuendesha kidogo. Alivyosimama na kushuka kwenye gari ona alichoona......
Ingawa Brandon Lee White (26) alikuwa anavaa helmet haikumsaidia alifariki papo hapo.
Msiendeshe pikipiki kwa kasi.

3 comments:

Anonymous said...

Ni kweli ilitokea hapa Tulsa maana dereva wa ilo lori alishindwa kuliendesha baada ya ajali hiyo kutokana na mshituko alioupata na shemeji yangu(ambaye anafanya kazi ktk kampuni hiyo ndio alieendesha baada ya jamaa kuchukuliwa.)ni hatari kweli...

Anonymous said...

Jamaa lazima alikuwa anaenda kasi. Yaani kichwa cha bindamu kinapinda chuma!

Anonymous said...

mungu ni samehe ila hii ajali imenichekesha sana RIP