Tuesday, August 12, 2008

Karibu upate dishi!


Hao vijana wanakula chakula cha mchana kwenye mgahawa huko Lushoto. Kuona picha zaidi tembelea:

1 comment:

Anonymous said...

Kitoweo kina maji maji wala hakitamnishi. Na siwezi kushiba na haka kalundo kaugali.