Saturday, August 23, 2008

Wake wa Mzee Mandela


Wake wa Mzee Mandela.

Mke wa sasa Nelson Mandela, Mama Graca Machel (kushoto) akimpiga busu mke wa zamani wa Mandela, Winnie Mandela (kulia), kwenye sherehe za kusherekea birthday ya 90 ya mume wao. Naona wanapatana vizuri tu. Je, wana-share siri za kumfurahisha mzee?

10 comments:

Anonymous said...

chemi hapo umechemsha. hapo mke ni mmoja tu huyo mwengine sasa si mke tena alikuwa mke zamani akajitia wazimu mzee mzima akapiga na chini. kwahiyo usimuadress kama ni mke bali ni mzazi mwenziwe kwa kiswahili safi. mke ni graca machell. huyo winnie ni mtalaka wake na sio mkewe.

Anonymous said...

KAMA WANAONGEA HIVI¨

WINN=vipi MZEE speed yake bado ile ile 120.

GRACA=aah wapi mwezangu ulifaidi siku hizi kachoka anatembelea gea namba moja tu kwa 24hrs

WOTE=hahah basi ebu sogeza mdomo shosti tupeane raha wenyewe

Anonymous said...

yaani jose umesema kweli mimi mwenyewe nashangaa sana kuona wanakulana denda?? ndio maana mzee hawezi sasa bora wapeane raha wenyewe?? duniani kuna mambo sana

Anonymous said...

Ukweli wanapashana nani anaweza kumpa mavituz bora zaidi. Hapo walikuw karibu watwangane mangumi lakini baad aya kumeza champagne Winnie kaamua Gracca ambusu kwenye domo!

Anonymous said...

Hii picha inasema mengi! DUH!

Anonymous said...

MZEE MANDELA= hahaha waacheni hao udhaifu wao naujua mimi hasa WINN alinikoma pindi nilipotoka prison alikua apumui huyo, na huyu GRACA namtafutia kosa nimteme kisha nikachukue chombo alichoniachia NYERERE kule butiama halafu jirani (ZAMBIA)hapo mke wa MWANAWASA anabip hata 40 ya mumewe bado au ndio kashasikia mi ndio mzee wa vimeo

Anonymous said...

Mzee Mandela - Wake zangu wananiandalia nini leo usiku....

Anonymous said...

Wanajua mapigo ya Mzee

Anonymous said...

we ano wa Aug 23,2008 10:03 wewe ndio umechemsha,sio Graca machell.Ni Graca Madiba Mandela.

Anonymous said...

Jose, Hujatulia!! teh teh teh.