Monday, August 04, 2008

Miss Tanzania 2008 - Nasreem Karim

Picha kutoka Michuzi Blog

Mrembo Nasreem Karim (22) amechaguliwa kuwa Miss (Vodocom) Tanzania 2008. Alichaguliwa kati ya warembo 26 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania.

Tunamtakia kila la kheri katika mwaka wake wa U-Miss.
Kwa habari zaidi mtembelee Kaka Michuzi.

2 comments:

Anonymous said...

Uso wake umekomaa. Best Wishes kwake!

Anonymous said...

mwe kumbe ni vodocom sijajua dada.