Monday, August 04, 2008

Morgan Freeman aumia vibaya katika ajali ya gari!


Habari kutoka Mississippi zinasema kuwa mwigizaji mashuhuri wa sinema, Morgan Freeman (71) ameumia vibaya katika jali ya gari aliyoipata jana usiku huko.

Habari zinasema kuwa Freeman alikuwa anaendehsa gari mwenyewe alipopata ajali. Mwanamke ambaye abiria ndani ya gani naye kaumia vibaya. Hawajasema huyo mwanamke ni nani.

Ilibidi watolewe kwenye hiyo gari na 'jaws of life'.

Habari pia zinasema watu walipojua kuwa ni yeye, Morgan Freeman ndani ya gari hiyo mashabiki walianza kupiga picha za ajali na majerehi.

Freeman ni mwaigizaji wa tatu kutoka sinema, Batman The Dark Knight kupatwa na maafa.

1. Heath Ledger alikufa baada ya kunywa mchanganyiko wa madawa mbalimbali.

2. Christian Bale alifungwa baada ya kumpiga mama yake mzazi na dada yake.

Sasa Freeman kapata ajali mbaya ya gari.

Laana ya Batman nini? DUH!

Nitawapa habari nikizipata, kwa sasa mnaweza kupata habari zaidi:

http://ap.google.com/article/ALeqM5jNttk7bYjxd_EyVMhB-0WLJQv2-AD92BIUP00

http://www.telegraph.co.uk/news/newstopics/celebritynews/2500038/Actor-Morgan-Freeman-seriously-injured-in-Mississippi-car-accident.html

http://www.suntimes.com/entertainment/people/1089879,freeman080408.article

*********************************************************

Ukitaka kumpa Pole Morgan Freeman, soma chini:

MEMPHIS, Tenn., Aug 04, 2008 /PRNewswire-USNewswire via COMTEX/ -- The following is a statement by Donna Lee - Spokesperson/Publicist for Morgan Freeman:

Regarding Morgan's injuries - "Morgan has a broken arm, elbow and has minor shoulder damage but was in good spirits when I spoke with him a short time ago at the Elvis Presley Memorial Trauma Center at The MED, a Level 1 Trauma Center at the Regional Medical Center at Memphis.

He is having a little bit of surgery this afternoon or tomorrow to help correct the damage. He says he'll be OK and is looking forward to a full recovery."

Folks are welcome to send well wishes - no flowers or gifts - to:
PO Box 16548, Encino, CA 91416 in care of Morgan Freeman

Or they can blog him at:
http://www.planitnow.org/morgan/

He and we thank everyone who has sent them for the good wishes and prayers.

SOURCE Donna Lee - Spokesperson/Publicist for Morgan Freeman

5 comments:

Anonymous said...

Maskini, mzee wa watu! Pole zake. Sasa utueleze vizuri kuhusu huyo dada aliyekuwa naye.

Anonymous said...

Hivi umbeya kama huu unamsaidia vipi mbongo? Nimesoma kwa masikitiko makubwa kwamba watu 10 walipoteza maisha yao Mbeya kwa ajali ya gari. Nikawa nafikiria ni lini tutakuwa na highways like two lanes one way badala ya magari kupishana uso kwa uso yakitenganishwa na mstari wa njano?

Anonymous said...

Dereva kalewa gongo, sawa hiyo!

Dereva kabukia unga, sawa hiyo!

Unknown said...

Pole sana Morgan Freeman. You better get well. I dont wanna miss your next big movie. Am a big star of yours old man.

Anonymous said...

Kuna habari kuwa anaachana na mke wake sababu ya hiyo ajali!