Thursday, August 21, 2008

Wabunge wakistarehe

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera akicheza na Ofisa Uhusiano wa Zain Tanzania, Celine Njuju, muziki ulioporomoshwa na African Stars 'Twanga Pepeta International' mjini Dodoma, wikiendi. picha kutoka Jiachie Blog.
Kweli mambo yanabadilika Bongo. Zamani ni mwanamke ndo alikuwa anacheza na ungo. Siku hizi hata wanaume wanacheza nazo. Kushoto ni Mbunge Kapiteni John Komba. picha kutoka Lukwangule Blog

6 comments:

Anonymous said...

Hao wanawake wote ni wabunge? Au wengine ni wale CD's tunaowasikia?

Anonymous said...

Kapiteni Komba kashiba hasa. Da Chemi ungebandika na picha zingine za tukio!

Anonymous said...

Kama hata waheshimiwa wabunge wameanza kushikishwa "nyungo" (ungo), basi tumekwisha. Hizo nyungo sio za kawaida hizo, nyie furahieni tu.

Anonymous said...

Kweli hizo ungo zimejaa juju za kuwapofua wakiwa Bungeni!

Anonymous said...

Lahaula! Yaani hizo ungo zililetwa maalaum Bungeni kwa ajili ya densi? Kweli zitakuwa zimenyunyuziwa mavitu.

Anonymous said...

MTUMEEEE!