Saturday, August 23, 2008

Ukweli Kuhsu Wanaume


Imeandikwa na Kaka Lazarus Mbilinyi

Wanaume viumbe wa ajabu sana, atakupa raha zote na ahadi kedekede, muhimu kutambua je, ni tamaa au upendo wa kweli?

Ni vizuri wanawake wote wakajua kwamba:Kufanya mapenzi kabla ya kuoana (premarital sex) na mwanaume haiwezi kukusaidia yeye ku – fall in love na au wewe kuwa mtu special kwake au kukuhakikisha mahusiano yanayoyumba yasimame vizuri au hata kusaidia mwanaume aji-commit kwako.
Mwanaume akiwa serious na mwanamke anayemtaka kumuoa ataweza kuvumilia sex kwa muda wowote mliokubaliana hadi ndoa.Mwanaume anapokujia kuna mambo mawili kutoka kwake jambo la kwanza inaweza kuwa ni tamaa zake na jambo la pili ni upendo wa kweli.
Pia usichanganye hayo mambo mawili.Kama mwanaume anakutaka kwa ajili ya tamaa zake, kitu cha maana anachokitaka kwako ni kutimiza malengo yake ya kukuchezea kwa ajili ya raha zake (sex). He is just for fun, hata kama atakuahidi mambo makubwa bado anakuwa lengo ni kukuchezea tu.
Kama mwanaume anakutaka kwa ajili ya upendo wa kweli, atakuwa tayari kuvumilia kukusubiri kwa sababu upendo wake ni zaidi ya sex, kwake maisha kwanza na yupo tayari kuvumilia.
Pia mwanamke kuwa bikira au mtakatifu (untouched) ni vitu ambavyo wanaume wanapenda sana, sababu ya msingi ni kwamba mwanaume akimpata mwanamke ambaye hajawahi kuwa na mwanaume mwingine hujisikia vizuri sana, anamwona ni mwanamke special na pia anampa feelings zaidi.
Hii ni kumaanisha kwamba jinsi mwanamke anavyokuwa na wanaume wengi kabla ya kuolewa hupunguza nafasi ya wanaume kujisikia vizuri kumuoa.

Njia nzuri ya kujua mwanaume anakupenda kwa upendo wa kweli uwezo wake wa kuwa serious na wewe ni jinsi anavyovumilia kuhakikisha mnaepuka sex kabla ya ndoa.
Mnaweza kusoma mada zingine za Kaka Mbilinyi kuhusu mapenzi bora huko The Hill of Wealth Blog:

5 comments:

Anonymous said...

Ninavyoelewa mimi ni kwamba "LOVE" sidhani kama ina theory yeyote! ni kitu kinachokuja AUTOMATIC! Umeongelea kama mwanaume atamkuta mwanamke "untouched" atafurahi sana? Je baada ya hapo what next? Labda sijui lakini theory hii kama itafanya kazi, ya kwamba wote muwe "BIKIRA" ndio mengine yatakwenda sawa! WE CAN CREATE AN IDEAL SOCIETY IF U WILL COMPANY FOR PEOPLE ALL(MEN & WOMEN) IN THE "WORLD or TZ" NOT TO HAVE SEX B4 MARRIAGE! Nahisi na shawishika kusema "Penzi" hatuwezi kulijadili!! Ni siri kubwa ya mungu mwanadamu hawezi kupambanua kwa kina!
Ahsante!
Mwana Jr

Anonymous said...

huyu mbilinyi asitafute sifa. kwanza mbona haandiki against wanawake? yeye ni kukosoa wanaume tu?pili siku hizi maendeleo ya sayansi na teknolojia kuna bikira za kutengeneza kwa kutumia vidonge. mwanamke anafanya uzinzi kisha wakati wa kuolewa anapata vidonge na bikira artificial inafanyiika. watu kama mbilinyi mnaweza kuoa na kuona kuwa demu yupo bomba kumbe waja nja walishapita zamani tena kwa sana tu. kwa hiyo bikira hsa nothing to do with relationship la muhimu ni kupendana na kuvumiliana. jee wajane nao wasiolewe kwa sababu bikira zimeshaondoka? lakini pia baadhi ya kazi hasa ngumu huondoa bikira bila ya sex kama kuponda zege, kuendesha baikeli, kubeba mizigo mizito kama kuni hasa vijijini, ajali za barabarani nk.kwa hiyo mbilinyi napenda ujuwe kuwa bikira sio ishu kubwa sana mnaweza mkawa umemkuta na bikira lakini hakuna mapenzi

Anonymous said...

Naona mnamshutumu Mbilinyi, yeye ameelezea hali halisi vile walivyo wanaume, huo ndo ukweli usiopingika! Haijalishi ukiupenda ukweli huo au huupendi! Hakuna mwanaume anaetaka achukuwe makombo ya wenziwe, kila mwanaume anatamani na anapenda afunguwe mwenye box. Kama ni artificial au natural so long yeye hajui basi inampa confidence na mapenzi zaidi kwa huyo mpenziwe. Amin na kwambia anaeolewa na bikra huheshimika zaidi kwa mumewe! Ni afadhali ya mjane kuliko mwari asie na bikra. Sababu anaeowa mjane, anahakika kwamba huyu haipo tena bikra, lakini anaemuowa mwari hutamani aikute bikra! Kuhusu bikra kutoka kwa kufanya kazi ngumu au kuendesha baiskel! Ni kujulishe tu kwamba ni tofauti sana bikra inayotoka kwa njia hizo na ile inayotoka kwa kuingizwa kitu ndani ya kuma (kuingizwa uboo au chohote), bikra inayotoka kwa kazi ngumu au kuendesha baiskeli, hupelekea kukatika kwa hymen tu lakini bado huacha viginal orifice ikiwa bado tight sana!Na ofcoz bikra zinazotoka kwa njia hizo ni less than 10%, kwa hiyo usilete visingizio visivyo na mashiko! Muhimu wewe msichana ukikubali kutolewa bikra basi make sure aliekutoa bikra ndio anakuowa otherwise hata akitokea mtu akakupenda vipi na akakuowa, thamani yako haiwi kama ungeolewa na bikra! Jitunzeni, wanaume wanabahati hawanavipimo ya kuwajuwa ni bikra au si bikra! Lakini pia ikotofauti wanawake wengi hawapendi kupata mwanaume mshamba (bikra) katika mapenzi, hivyo mwanaume kutokuwa bikra kwake huenda ikawa ni advantage sometímes!!!

Anonymous said...

Da Chemi naomba ungeondoa hii word verification, inatufanya tuwe wavivu wa kutoa maoni, coz sometimes tunakuwa na haraka then tukifikiria process hizi ndeefu za kuandika maherufi 6 bila sababu inakuwa dorooooooooooooo!

Anonymous said...

Nnacho weza kusema ni kwamba no one can explain guys and wat they want either,the same for gals kwani mademu hawajui wanataka nini.