Wednesday, August 06, 2008

Mazishi ya Captain Mazula


Aliyekuwa Rubani mkuu wa Air Tanzania, Captain George Mazula, amezikwa mjini Dar es Salaam leo, kwenye makaburi ya Kinondoni leo. Amezikwa karibu na mwanae Walter.

Mungu ailaza roho yake mahala pema mbinguni. Amen.

Kwa picha zaidi za mazishi tembelea Michuzi Blog.

No comments: