Friday, August 01, 2008

Hapo Zamani za Kale!


1994 - Kilimanjaro Hotel
Tukio ni kukava hotuba ya mwalimu. Toka shoto ni mbaga (sasa tvt), mpochi (guardian), Kaka Michuzi (bloga), moshy kiyungi (nipashe), herman ( mtanzania?), dihule (mtanzania, rai na dimba) na mwangasa (itv).

2 comments:

Anonymous said...

yaani huyo 'mie' bloga ndio wewe bibie,jamani haya maadili ya uhandishi kazi

Anonymous said...

Yaani mmeona pose ya kaka MICHUZI? Yaani huo mguu!!

I met him very briefly twice hapa London. He is such a gracious person. That is my impression about Bro Michuzi.I guess others will agree with me.