Tuesday, August 05, 2008

Mambo ya Ras Nas huko Norway

Ras Nas/Nasibu Mwanukuzi

Mwanaharakati, msanii na mwanamuziki wa ki-Tanzania, Ras Nas au Nasibu Mwanukuzi amewasha moto wa kiutu-uzima kwenye fani ya muziki Norway kwa kuwa msanii mwa-Africa wa kwanza nchini humo kupata nyota tano kwenye marudio ya albamu yake “Dar-es-Salaam” toka gazeti kubwa la Dagsavisen. Hii inadhibitisha kwamba wabongo nao tupo!

Soma zaidi kwenye blog ya Watanzania Oslo hapa
http://watanzaniaoslo.blogspot.com/

Ukitaka kuangalia shoo live ya Ras Nas unaweza kubonyeza Youtube:
http://www.youtube.com/user/rasnas55 (hapa kuna video tatu: 1.River Nile 2. Dar-es-Salaam na 3. Guantanamo)

Asanteni,
Kongoi Productions
http://www.kongoi.com/

No comments: