Friday, August 01, 2008

Da Subi yuko Bongo


Mwanablogu maarufu Dada Subi (Nukta 77) kutoka Arizona, yuko Bongo. Leo alitembelea maofisi ya Daily News. Pichani yuko na Kaka Michuzi na Father Kidevu (Mroki Mroki).

3 comments:

Anonymous said...

Dada SUbi kumbe mfupi!

Anonymous said...

mrefu sana huyo. alikuwa amekaa kwenye kiti wakati michuzi na mrocky wamesimama. niliwapiga picha mimi alipokuja daily news

Anonymous said...

kumbe haka ndio kadada Subi? kadogo kama kasoseji!