Sunday, August 17, 2008

Bendera yetu Iraq - Part II

Mwanajeshi wa Tanzania (?) aliyeumia huko kwenye Vita vya Iraq
Jamaica Flag

Tanzania Flag
********************************************
Wadau, kuna watu ambao wanadai kuwa huyo mwanajeshi kavaa bendera ya Jamaica begani. Wala haifanani na bendera ya Jamaica. Ila inaonekana kabisa kama ya Tanzania, au ni macho yangu?

7 comments:

Anonymous said...

huyo askari alieumia amevaa gwanda lenye bandera ya nchi ya SAINT KITIS AND NEVIS na sio tanzania. bendera hiyo inakijani juu njano na nyeusi kati na nyekundu chini. ya tanzania ni kama hivyo lakini chini ni blue. tofauti ni hiyo rangi ya chini ambapo hiyo ni nyekundu na ya tanzania ni blue.kwa maelezo zaidi type saint kitis and nevis flag katika google kisha utapata maelezo na ufafnuzi wa bendara hiyo.wasalaam

Anonymous said...

lakini bado hiyo ni bendera ya tz,

Nalitolela, P. S. said...

sio St. Kitts & nevis hiyo; I thought so too at first. But the bottom part looks more blue than red.

Anonymous said...

huyo kama ni kweli jeshi wa bongo ni astahili yake kwani alidhani ni comoro kule nashangaa kwanini hajafa

Anonymous said...

Hii inaelezea kwa nini Bush alikaa siku nyingi Bongo kuliko kawaida yake. Tufunge mkanda Al_Qaeda watakapokuja toka Somali kutushikisha adabu.

Anonymous said...

mbona mimi nimewaambia hiyo ni bendera ya namibia lakini mnakataa

Anonymous said...

huyo mjeshi atakua moja wa walipo LEBANON