Wednesday, October 22, 2008

Matako Wowowo!

Kwa hii picha ya juu najua kuna akina kaka watarukwa na akili kabisa! Hapa Marekani ukiwa na matako makubwa wazungu wanasema eti, "Ghetto Booty"!
Hao waasia hawana kitu huo nyuma. Wamepigwa pasi, sasa kusudi waonekane kama wana matako makubwa kwa muda wanaenda kupiga picha kwenye hivi viti vya matako.
Sijui kwa ni kaweka mdoli wa mbwa hapo?

7 comments:

MARKUS MPANGALA said...

nipo hoi kbisa yaani nimeyaangalia hayo matko halafu nikakumbuka mademu wa kiasia haki ya nani hivi hawa jama yaani jpo kawowowo hakuna. ndiyo maana huwa nawaambia marafiki zangu jamani dada zetu nawapa 5 kwa kuwa na mawowowo bomba hata kama mimi siyo mpenzi ila poa tu. kuwa na mtu hana kawowowo japo kutikisa kidogo? jamani hii hatari

Anonymous said...

Huyo wa juu ni msomali!

Anonymous said...

Kweli mungu yupo! Picha ya juu ina noga!

Anonymous said...

anti chemi nikishindwa kurudi ofisini(coz am out for lunch) itakukost ujue?!!mwenzio apa presha iko juu halafu nina ripoti ya kusubmit kwa mnene wangu badae,hizi vitu anti uwe unaweka wikiendi tu kutusaidia sisi wenye mioyo mdogo,pliiiiiz!

Anonymous said...

Halleluyah! Huyo wa juu kaumbwa hasa! Ila sijui sura yake ikoje? Da Chemi una front view.

Anonymous said...

hahahahahahaha nimesoma maoni ya kina kaka zangu aisee nimecheka walai, Da Chemi pliz uwe unawawekea na reception ili wamalize kiu yao!
Ila sasa utani mbaya hiyo picha ninausifu uumbaji wa Mumngu walai!

Anonymous said...

Kweli kazi ya Mungu haina makosa