Wednesday, October 29, 2008

Wahariri Waandamana Dar

Wahariri kutoka magazeti mbalimbali Tanzania waliaandana kwenda Wizara ya Habari leo mjini Dar es Salaam. Lengo lao ilikuwa kuonyesha chuki na kupinga kufungwa kwa miezi mitatu gazeti la MwanaHalisi. Gazeti hilo ilifungwa hivi karibuni baada ya kutoa habari kuwa kulikuwa na njama za kumpindua rais wetu mpendwa, Jakaya Kikwete.

Nina swali, kwa nini headline ya ippmedia imewaita 'Dumb' (wajinga)? Siku hizi waandishi wa habari hawaheshimiani? Maandamano ilikuwa ya amani na wana haki ya kusema kuwa wanapinga maamuzi ya serikali. Kweli hii siyo enzi za Mwalimu. Enzi zile hutathubutu kuaandana! Utakosa kazi, na kufukuzwa kwenye nyumba na mambo mengine mabaya yangekupata.


Mzee Nyundo kanifurahisha hapo, lakini najua alikuwa anafanya kazi yake.

*********************************************************************
Kutoka ippmedia.com

'Dumb` editors stage demo

2008-10-29

By Correspondent Felister Peter


Editors from different media houses yesterday staged a peaceful demonstration to register their opposition to a government ban on MwanaHALISI weekly tabloid.

The peaceful march that started at Lugoda Street, Gerezani near Business Times offices and headed to the information ministry offices along Samora Avenue in Dar es Salaam, was also supported by activists from other organisations.

The editors marched with sealed mouths, being a mark of silencing the media and suppressing its freedom. They also displayed placards that carried varied messages, all opposed to the banning of MwanaHALISI.

Some of the placards read as follows: ``The government should not temper with press freedom, Mwanahalisi is banned but the corrupt leaders are still in office.`` ``Who revealed the EPA, Richmond and UVCCM scandals?`` ``We want MwanaHalisi back.``

``We shall continue writing until the end of this world.`` ``The newspapers Act of 1976 should be abandoned; MwanaHaLISI is the ear, mouth and eye of every Tanzanian.``

At the Ministry of Information, Culture and Sports headquarters, the protestors were received by the Deputy Director of the Tanzania Information Services Habib Nyundo, as the minister was not in office at that time.

Nyundo said he had received the message and would convey it to the minister. However, he advised the editors to stop using the name `Editors Forum`because it was not registered anywhere.

``I received your message, but I would like to advise you to stop identifying yourselves under the Editors Forum banner because it is not known to the government,`` he said.

In response, Editors Forum acting chairperson Absalom Kibanda differed with Nyundo.

Kibanda argued that the editors forming the body were fully known and operated legally because they were registered professionals with the Tanzania Information Services (Maelezo).

He said it was improper for the government to reject the editors group at the same time accepting its members as registered professionals. ``They should tell us the suitable persons who should belong to the Forum.``

He said the banning of MwanaHALISI was improper because contribution of the private media to the development of the country was crucial as compared to state-run outlets.

Kibanda said the aim of the demonstration was not to prove the story wrong or right, but making it clear to the government that silencing the media was totally wrong.

The chairman of the Media Institute of Southern Africa (MISA)-Tanzania, Ayoub Rioba, said Tanzania was a country that was ruled by democratic principles and there was no way the state could deny that fact but only adhere to it.

Ananelia Nkya, executive director of the Tanzania Media Women Association (Tamwa), said the banning of MwanHALISI denied people the right to give their opinion. ``If this continues, a day will come all private newspapers will be banned,`` she said.

MwanaHALISI was banned for three months after it published a story early this month linking big shots in the ruling party CCM to an alleged secret plot to oust President Jakaya Kikwete.

SOURCE: Guardian

6 comments:

Anonymous said...

Da' Chemi, nina wasiwasi uandishi wa habari uliupata 'kiusanii' manake haiingii akilini kwa mwandishi wa habari kutoweza kung'amua kuwa neno linaweza kuwa na maana zaidi ya moja kutegemea na matumizi yake. The word 'dumb' has several synonyms including inarticulate, mute, speechless, voiceless, mum, silent, dense, obtuse, thickheaded, asinine, dull, and foolish. Mwandishi wa makala uliyopost alikuwa akimaanisha kuwa waandishi walikuwa wakiigiza 'ububu', rejea sehemu ya makala hiyo - "The editors marched with sealed mouths, being a mark of silencing the media and suppressing its freedom".

Kwa kuwa wewe ni mvivu wa kuchambua habari umekurupuka na kudai eti waandishi wameitwa 'wajinga'.

USHAURI WA BURE: Kabla ya kupost soma kwa umakini unachopost!

Chemi Che-Mponda said...

Anony wa 5:58pm, asante kwa mchango wako. Ni kweli ulivyosema kuwa ni synonym na nilikuwa najua. Lakini kwa vile ina maana nyingi nadhani walitumia hiyo neno maksudi. Kwa nini wasitumie neno, 'mute, mum au silent'. Mtu akisikia neno dumb, hafikirii deaf and dumb anafikiria ujinga kwanza. Waandishi wa habari tunafundishwa 'the power of the pen' na hiyo kichwa cha habari ilisema mengi. Labda mimi ni old school na nilifanya kazi Daily News hapo zamani za kale lakini najua kuwa hiyo neno isingetumika kwenye headline hivyo. Na nina amini ilikuwa issue kwenye post mortem yao ippmedia.com.

Anonymous said...

Da Chemi huyo aliyeweka hiyo neno 'dumb' alijua anafanya nini. Hebu uliza kwa nini hakwenda kuandamana na yeye.

Anonymous said...

Mimi kama mwandis wa habari nakubaliana na Dada Chemi kwamba Dumb hapa linaweza kufasiriwa kama juinga.Neno Mute ndio neno muafaka kwenye hiyo headline kuonyesha kunyamazishwa.

Anonymous said...

Ndo maana wanadai unakurupuka.
Mbona sioni 'anony wa 5:58pm' unayemshukuru kwa mchango wake?

Chemi Che-Mponda said...

LOL! Ni wewe mkongwe.