Thursday, April 10, 2008

Akina Mama India waamka!

(Picha kutoka Michuzi Blog)

chinga kinamama wakimshuhuklikia mgambo wa jiji anayewanyanyasa huko bombay
***********************************************

Huko India kazi kuua akina mama na watoto wa kike ovyo. Wananyanyaswa na kupigwa bila hruma. Sasa wana amka!

4 comments:

Anonymous said...

Naona polisi wanazuia akina mama wengine wasiende pale. Hakuna anayemsaidia huyo mwanaume.

Dinah said...

Hahaha safi sana, ubabe wa wanaume umzidi miongoni mwa jamii.

Anonymous said...

Jamani wanataka kumbaka mwanaume! Wanawake wa kihindi hawa inatakiwa washitakiwe.

India wanawake ndio wanaooa wanaume.Wakiwa hawajapata mtu ukipita kwenye kundi la wanawake wasiokuwa na wanaume ni raisi mwanaume kukabwa na kubakwa.

Anonymous said...

Ninasoma na mabinti wa kihindi hapa London. Nimewaonyesha hii picha leo asubuhi tukiwa darasani. Wengi walicheka na kusifu ujasiri, hasa wa huyu mama aliyetoa kibano. Hata hivyo hawa walijaribu hata kusoma maaandishi hayo yanayoonekana kwa mbali kulia, na pia hii uniform ya huyu askari, wakasema hapa ni Bangladesh, sio India. Mdau.