Tuesday, April 22, 2008

Tazama Mechi Hapa!

Dada Subi ameniletea linki hii:

*********************************************

Samahani kwa kuchelewa kuleta tangazo (nilikuwa najihudhurisha mbele ya liwali asinisahau kwenye ujira)ni hivi, nimebandika link hapa: http://nukta77.com/soccer.aspx mtu kuweza kuchagua pa kutizamia mechi za michezo mbalimbali ikiwemo huu wa soka/futiboli la leo (Liverpool vs Chelsea)

Kwa wale washamba wa vijiji vya USAgara/USA river na vitongoji vyake, huu ndiyo wakati mzuri wa kwenda sambamba na walioko Tz
Subi

1 comment:

Unknown said...

Dada Chemi habari za kazi.

Samahani dada yangu naomba nitumie nafasi hii kuleta ombi langu kwako.

Mimi ni mwanaume wa umri wa miaka 45. Nina kazi nzuri na kipato cha kuridhisha.

Hivi sasa niko very much frastrated because of my wife. Tatizo ni kwamba hivi sasa kazini kwake amepandishwa cheo na mshahara wake umekuwa mkubwa. Sasa dada yangu hivyo vituko anavyonifanyia sasa nimechoka. Amewahi kunipiga makofi mbele ya mtoto wetu mmoja wa kiume. Sasa I have already arranged for a divorce kitu ambacho amekiafiki. sasa dada yangu tafadhali nipatie companion (mwanamke) ambaye anaweza kunifaa. Mimi ni mpole sana na mara nyingi sipendi ugomvi. Napenda sana familia. Ningependa mwanamke wa disign hiyo. Umri usizidi miaka 30, slim na makalio kwa mbali(sio total flat), akiwa mweupe nitafurahi zaidi, lakini maji ya kunde it is OK. Elimu at least form IV anayefundishika. Mrefu wa wastni.

Wako mwenye matatizo Freddy James. E mail fredsonjames@gmail.com