Tuesday, April 22, 2008

Akuta Mamba Jikoni!


Huko Florida, bibi moja mwenye miaka 69, alimkuta mamba mwenye urefu wa futi nane jikoni kwake.

Sikiliza alivyoaomba msaada 9-11 hapa: 9-11 operator anamwuliza siyo kenge kweli?


Huko Florida kuna tatizo kubwa mamba. Ni protected species yaani wanalindwa hivyo ni marufuku kuwaua. Matokeo yake wamezaliana na wamakuwa wengi. Tukio za mamba kudhuru na hata kuua watu zimeongezeka huko Florida.

4 comments:

Anonymous said...

LAHAULA!

Anonymous said...

Nimeona kwenye news! DUH! Sijui ningefanya nini kama ningemkuta kwangu. Wanasema alikuwa na urefu wa futi 9!

Anonymous said...

MHH HATARI

Anonymous said...

sheria za nchi za wenzetu nazo kazi kweli kweli,sasa mdudu kama huyo anakaa kwenye maji iweje aingie mazingira yasiyo yake alafu wanaweka vizuizi asiuwawe?ina maana kungekuwa na watotot si angewajeruhi?ingekuwa bongo tungesema katumwa na wachawi.
naipenda Tanzania kwa sheria mkononi.