Saturday, April 05, 2008

Vituko Afrika Kusini

Wanawake wa Afrika Kusini wakipinga kunyanyaswa kwa mwenzao

Wadau, huko Afrika Kusini kuna mambo. Sasa baada ya kusoma hii story nikafikiria, je, kitu kama hiki kinaweza kutokea Tanzania. Nikasema haitawezekana. Kwanza hao wanawake wasingefike mbali kwa jinsi walivyoanza kuvua nguo hadharani. Si sapoti alivyonyayaswa huyo Dada lakini lazima aelewe kuwa popote akienda duniani kuna wanaume punguani. Wakiona nguo fupi wanaona ni tiketi ya vituuz vya bure!

Soma habari zenyewe chini ,nimepata kwenye e-mail:

*********************************************************************

Well, you have heard of Mungiki stripping women in Naivasha, Well, in South Africa, taxi drivers are doing the same. Ati wearing a mini-skirt is wrong!Nwabisa Ngcukana, 25, had to parade but naked at the Noord Taxi Rank after a mob of taxi drivers stripped and tore her clothes. Her crime was wearing a short skirt. They torn skirt and panties as you can see from picture below..."I have never been so traumatised in my life. I thought these taxi drivers were going to rape me," Ngcukana said. "

As they stripped me they kept shouting that this is what I wanted. Some were sticking their finger in my vagina while others poured alcohol over my head and called me all sorts of names." Well, what did the South African women do?

A female radio DJ asked people to call in and they talked: I would feel disappointed if this is not debated in the next Parliament sitting But more importantly, they did not just talk. Of course, they took action. They organized a mini skirt march http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7276654.stm%3E and went over to the taxi rank.


Aliyenyanyaswa akionyesha chupi na sketi yake iliyochanwa

Wanawake wenye hasira wakionyesha mapaja yao
Wanawake wenye hasira wakishika matiti yao
Wanawake wenye hasira wakielekea kwa hao wenye teksi

Njiani, dume aliamua kuwaunga mkono/paja

Wanaume wenye teksi wakijadili

Kichaa anaamua kuonyesha chupi yake

Mwingine anamua kuonyesho matako yake!

Wanawake wakisema ni haki ya mwanamke kufanya anavyotaka!
Hiyo midume siyo inataka kuona nini!!!

ONLY IN AFRICA

13 comments:

Anonymous said...

Da Chemi kwa nini kwa mwanaume alieonyesha chupi na matako umemchukulia kama ni KICHAA while kuna wakina mama pia wameonyesha chupi na sidiria ila husemi kama ni VICHAA?

Ntafurahi nikisikia na Bongo wakiandamana... nione itakuaje!

Anonymous said...

I wish ingetokea bongo tuone matako ya bureeeeee bila kulipia.
Wakina mama wa kizulu wamejaaliwa migongo.Ni jinsi walivojiskia hao sio mbaya kufanya kitu kama hicho ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe kwa walengwa.

Tom

Anonymous said...

Chris, Da Chemi hana ha ya kujibu swali lako. Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kufanya kituko kama hicho. Wewe unaweza kushusha suruali yako mbele za watu?

Anonymous said...

Nchi yenye mapunguani sasa wanapinga nini na wanafanya nini sina hata cha kucomment baada ya kwenda kujiendeleza kielimu wanabaki kuruka ruka barabarani si bure wanabakwa kila siku. wanabaki kuimport maprofesor vyuoni kutoka nchi za watu I feel pitty for them
HILDA

Anonymous said...

Da Chemi,

These silly stupid actions happen everywhere around the globe, but most of the time wenzetu, they do it for money or very well organized business, i.e stripping club, pole dancing, sex shops, sex streets and so and so forth. The only difference is that you have to pay money to see and get the service, therefore it is open up to public only for those willing to pay few bobs.

But there are few of them stripping on public and staying nude as a protest, like animal right activists, some even go far as performing sex on the streets, public kissing that is considered normal in EUROPE, but at the other hand if you do the same action in Africa you will be called every name, and rightly so, because it is not in our blood and has never been our culture.

I am not applauding these actions, but hivi vituko happen in the west more frequently than you would imagine.

By Mchangiaji.

Anonymous said...

Kama wanahasira kweli wangevua na hivyo vichupi vyao wakaonesha nyeti...!

Hovyoooo wanajidai kufa wakati kuzimia hawawezi!

Hapa ndo nnapoona baadhi ya wanawake upeo wao wakufikiri ni mdogo sana afadhali kuku, how comes uone njia pekee ya kudai haki ni kuonesha mchupi wako kama kiloba, sidiria kama gunia la lumbesa..inamaana upeo wa akili yako umeishia hapo?

Na da chemi nae anaonesha hili wala halijamkera lol, yeye kaona yule mwanaume tu ndo kichaa, wakati hawa wanawake wao ndo matahira kabisa, I bet hawana waume hawa, aah mke wamtu akatembee uchi barabarani eti anadai haki..nonsense!Huwenda ni vyangu dowa hao!

Sikubaliana na hawa wote; aliechaniwa nguo, waliochana nguo (tax driver), wanaondamana uchi na da chemi anae wasapot.

Daima kosa hali halalishi kosa...!

Simon Kitururu said...

DUH!

Dinah said...

What a umoja? Hii ndio inatakiwa hata hapa nyumbani mana'ke mtu ukijivalia kasiketi kako kadogo wanaume wanasumbua na hata wanawake wenzako wanakusumbua eti unajiuza au unajitangaza kuwa unataka kungonolewa, kumbe mwenyewe umevaa tu kwa vile ni mtindo na unaupenda, unakupendeza.

Sidhani kama wanawake wa Tz wanaweza kufanya hivi kwa vile ni waoga na they can do whatever 4 a man.

Mnaandamana kupinga vitendo vya ubakaji kwa kisingizio cha mavazi, hatuwezi kuvaa watakavyo wao (baadhi ya wanaume) bali tunavaa kutokana na tunavyojisikia au tutakavyo sisi wanawake.

Safi sana wanawake wa SA, wanaonyesha kuwa kama mnadhani kuona sehemu ya paja ni hatari haya sasa oneni mpaka chupi na matiti.

Kuna wanaume wengi huachia vifua vyao, wanadhani wanawake huwa hatuvitamani?

Wanapo vaa kaptura au kutuonyesha boxers (wakivaa kata kundu sijui) wanadhani huwa hatutamani?

Wanapojishika-shika pale katikati pametuna kiaina wanadhani hatutamani?

Mbona hatuwasumbui/abuse kwa maneno wala kuwabaka? Au kwa vile ni wanawake na hatuna haki ya kutamani nakuweka tamaa zetu hadharani?

Acheni ubinafsi nakuona hatari vitu vidogo wanaume wa Kiafrika ah!

Anonymous said...

ishakua tabu sasa halafu wameoza wote

Anonymous said...

Kwa upande wangu binafsi kama kuna mwanamke yoyote anauona huu ujinga waliofanya wanaume na wanawake wa south africa ni sawa nadhani ya yeye atakuwa ni mtu wa tabia hi.kuna watu wanajifanya machizi kwamba hawajali lakini ukweli ni kwamba ni ujinga

Anonymous said...

huyu demu dinah sijui huwa anajifikiria kabla hajatuma komenti? nadhani anaandika tu kinachokuja mdomoni/sio kichwani

Anonymous said...

I wish I was there!LOL!

Anonymous said...

huyu dinah chizi ye anaona sawa,ujinga wako peleka kwa shosti wako shamimu kule