Thursday, April 10, 2008

Kwa nini Kuku alivuka Barabara?


Asante Dada Subi


MARTIN LUTHER KING Jr: ... I envision a world where all chickens will befree to cross roads without having their motives being called into question.
* MACHIAVELLI: The point is that the chicken crossed the road. Who cares why? The end of crossing the road justifies whatever motive there was.


* GEORGE W BUSH : We don' t really care why the chicken crossed the road. We just want to know if the chicken is on our side of the road or not. The chicken is either with us or it is against us. There is no middle ground here.


* MOHAMMED ALDOURI: ( Iraqi Ambassador): The chicken did not cross the road. This is a complete fabrication. We don't even have a chicken.
* EINSTEIN: Whether the chicken crossed the road or the road moved beneath the chicken depends upon your frame of reference.


* ISAAC NEWTON: Any chicken in the universe shall always cross a road perpendicularly to the side of the road, and in an infinitely long straight line at uniform speed, unless the chicken stops due to an unbalanced reactive force in the opposite direction of the chicken's motion.


* THABO MBEKI: We need to establish if really there is a connection between the chicken and the road.


* ROBERT MUGABE: We intend in taking over this road and giving it to the roadless chickens so that they can cross it without fear. We will not stop until all roadless chickens have roads to cross and the freedom to cross them.


* RAILA ODINGA: Has the chicken signed an MOU not to cross the road? Crossing the road is a two horse affair. Anything else is a donkey! Besides no one can stop the River Nile....... But if we cross the road like I have done seven times so far, then we can invite the chicken to come back to the original side of the road....


*EMILIO MWAI KIBAKI: Kuku ilivuka pale pale, ikienda huko huko........na hilo ndilo jambo la muhimu.......hakuna mambo ingine……… na hatuwezi kataa, tutakataa namna gani ? Hakunaaa !!! Na hao wanaendelea kuongea mambo ya kuku………..…....ni wapumbavu.................mavi ya kuku!

*JAKAYA KIKWETE: Kuku alivuka barabara kutizama maisha bora kwa kila kifaranga.

*MU7: Who cares about kuku kuvuka marababara so long as I live to become EAC president?

*Dokta WIL SLAA: Kuku alivuka barabara kuwasaka mafisadi.

*ALI MWINYI: Jamani ndugu zanguni eeeh, ruksa kuku kuvuka barabara. Nasema, mwacheni kuku mwenye kuweza kuvuka barabara, avuke barabara, msimgonge.

*KARAMAGI: Kuku alivuka barabara kwenda kutafuta upenu wa kusaini mkataba wa kuvuka barabara.


*SITTA: Jamani, nauliza hivi, hivi wananchi wanatutegemea sisi kujadili mambo ya kuku kuvuta, ee samahani, ninamaanisha, kuvuka barabara kweli? Bunge hili sitoruhusu kujadili habari za kuku kuvuka sijui barabara ama nini, nendeni mkawaulize wauza kuku.Ninavyofahamu mimi, sana sana kuku alivuka barabara kutizama kiwango cha kasi yake ya kuvuka barabara bila kukanyagwa na gari inayokuja kwa kasi mpya, sasa ukitafsiri vingine, hayo ni juu yenu na iwe nje ya Bunge hili.

*KINGUNGE N MWIRU: Kuku alivuka barabara kujibu swali la nyongeza la kwa nini jogoo wazee wanahitajika kwenye chama.

*BEN MKAPA: Kuku alivuka barabara kwenda kuperuzi maktaba kuhusu habari ya kukanusha kuwa aliwahi kukanusha kwamba hakuwahi kuvuka barabara.


*J K NYERERE: Na kuku nao huwa wanavuka barabara siku hizi? ........eti huwa munawavusha? Kwa ajili gani? Kwanza vijibarabara vyenyewe vya kuvuka ni vipi? Udjinga mtupu.


(Subi)

2 comments:

Unknown said...

JAPO NIMESOMA HADI MWISHO LAKINI BADO NIMEAACHWA KWENYE MATAA, SIJUI NI KATAMTHILIA AU KAMZAA FULANI IVI LAKINI NI KAZURI NAOMBA TUJUZE ZAIDI DADA CHEMI NI NINI HASA HAPA UJUMBE WAKE?

Anonymous said...

http://sidymic.blogspot.com/2008/04/uzuri-wa-ndege.html#comments