Tuesday, April 01, 2008

Super Mama

3 comments:

Anonymous said...

Subhanallah!

Anonymous said...

That's awesome and incredible. Mungu ni muweza na mwema.Mshukuru Mungu kwa kila hali ulionayo.....

Anonymous said...

Kweli haya ni ya Mungu tu! Ajabu kubwa. Hata Tanzania kuna mwanamke mmoja wa namna hiyo, tena ni kiongozi katika chama cha walemavu, na hata aligombea ubunge (wa viti maalum) bahati mbaya akakosa. Yeye ni mnene, lakini anashangaza jinsi anavyonyanyua simu yake kwa kutumia unyayo na kuisikilizia sikioni, na maisha yake anaendesha japo hana mikono! Ila yule mtanzania sijui kama ana watoto au la, pengine tumwulize Michuzi, maana ndiye aliyetuwekea picha zake kwenye blog yake.