Tuesday, April 22, 2008

In Memoriam Prof. Henry Damson Kadete

Prof. Henry Damson Kadete
1954-1995
(Former Head of Electrical Engineering Dept. UDSM)

It's been 13 years today since you passed away. You are deeply missed by your wife, Chemi, an your sons Camara & Elechi, your sisters, brothers, nieces and nephews and friends. You will always be remembered. We miss you.

REST IN ETERNAL PEACE.

14 comments:

Anonymous said...

Pole Dada Chemi. Mungu yu mwema umeendele na maisha yako.

Anonymous said...

Da Chemi unaroho!.Umekuwa ukisema umeolewa tena lakini bado sikupata hii.Ninatamani kuongea kwa chingeleza nadhani ingefikisha ujumbe zaidi,uko-courageous,ukiweza nipigie niongee nawe 404 626 1984 naongea kichina lakini!Hafu swahili la ngivu ahaaa,Sitopokea simu yako.

Anonymous said...

naomba kuuliza,samahani lakini kwani kwa sasa wewe umeolewa je ni kweli wewe ni wife wa marehemu?Na mumeo wa sasa itakuaje. mimi Nyasebwa Nyakirango

Anonymous said...

Pole dada, Mungu akuzidishie nguvu na tunamwombea Prof pumziko jema

Anonymous said...

Kumbe ni Mjane Chemi.Je una mtu? mimi nakutaka.Unasemaje my would be sweet. Sema basi nakusikiliza baby.

Anonymous said...

Da'Chemi....pole sana our love & prays are with you...:)

Mushi

Anonymous said...

Pole sana dada Chemi, your man must be a very somebody of higher quality, To have a very determine wife like you, because i do admire your character!!! but i am worried he left so soon!!.

Anonymous said...

Pole sana ndugu yetu kwa msiba huu mkuu. Na marehemu Milton Damson Kadete nae akumbukwe, alikuwa rafiki yangu sana. John

Subi Nukta said...

Camara, Elechi, Da Chemi ndugu, jamaa na rafiki, poleni kwa kufiwa na kwa uchungu wa kumpoteza H.D.Kadete. Alolipanga Mungu, mwanadamu kulibadili hawezi.

Mwenyezi Mungu aliye mwingi wa hekima akupeni heri na maisha ya faraja na fikra njema katika siku mlizojaaliwa kuishi hapa duniani!

Rafiki,
Subi

Chemi Che-Mponda said...

Asanteni wote. Mdau wa 3:12am, sahisho kidogo. Yule alikuwa ni mpwa wetu Milton Peter Kadete (RIP).

Anonymous said...

Pole sana Chemi kwa msiba huo; ulitugusa watu wengi. Binafsi namkumbuka sana Professor Kadete alikuwa mwenyekiti wangu wa Faculty Computer Steering Committee pale FoE. Alikuwa mtu mwema mwungwana na mpole sana.

Anonymous said...

Da Chemi, Let me just tell you this: I respect you and admire you a lot my sis. Nuru

Unknown said...

Shikamoo mama Camara...RIP Prof. Kadete..I was soo young when i used to meet him..i hardly remember him well...But i knw he was a great dad to Camara and Elechi..wasalimie sana

Anonymous said...

Dear Chemi, pole sana.
nimekuwa mpenzi na msomaji mzuri wa blog yako. I didn't know you're mjane. I've learned something! "Courageous".
nakutakia maisha mema na endelea kutuhabarisha.
Love
Dorah