Saturday, April 26, 2008

Mtoto Kichaa Muhimbili - Onyo Picha Zinatisha!

Nimepokea haabri hii ya kusikitisha. Inaelekea ni habari ya kweli. Naomba mlioko Dar mthinitishe kama ni kweli. Je, huyo mtoto kichaa anaitwa nani? Huyo mtoto marehemu ni nani?

Kama ni kweli ni lazima wakubwa walihusika! Wakamatwe wahusika wote na wapewe adhabu ya kifo!
******************************************

On 4/26/08, Dr. M Wrote

Dakika chache zilizopita kumetokea tukio la kusikitisha hapa MPL Muhimbili. Askari mmoja alimsimamisha mtoto wa miaka kama 9 hadi 11 akiwa amebeba kichwa cha mtoto mzuri kama wa miaka mitatu. Kijana yule akatoa kichwa mfukoni na kuanza kula live. Nikifika home nitawatumia picha. Ajabu sanaKijana mla kichwa cha mtoto alisema kuwa anapeleka zawadi kwa shangazi yake yuko IPPM (siyo psychiatry). Ni kweli tukio hili la kusikitisha sana limetokea.Kichwa ni cha mtoto wa kike mzuri (binadamu), it seemed to be fresh.


Alidai anapeleka zawadi hiyo kwa shangazi yake yuko psychiatry!Mara baada ya kukamatwa, alianza kula kile kichwa live !!! !!! Hata hivyo baadhi ya mashuhuda wanasema aliyekamatwa aliwahi kulazwa psychatry unit.Kwa kuaangalia umbo lake, naye ni mtoto pia; hivyo nina walakini kuwa ni psychiatric patient (unless ana childhood neuropsychiatric/ neurodevelopmental disorders).Mbona amekuja Muhimbili na si kwingineko. Mfano, angekamatwa maeneo ya Ubungo ama kwingineko; akataja Muhimbili psychiatry tungesikuwa na maswali mengi sana. Kwa upande mwingine, kula kichwa LIVE mbele ya kada mnasi inatia walakini kwa binadamu wa kawaida mwenye akili timamu.Wazazi/ walezi wa watoto hao (aliyetafunwa na aliyetafuna) wako wapi?Wana maelezo yapi?Pamoja na hayo, kiwiliwili kiko wapi? Kikipatikana chote (kuanzia shingoni hadi miguuni) kitatoa baadhi ya majibu.Polisi wa kutosha (magari mawili) wameondoka na kijana huyo uchunguzi (forensic investigation) unaendelea.AMINI USIAMINI, NI KWELI YAMETOKEA.

11 comments:

Anonymous said...

Jamani ni kweli lakini? Siwezi kuamini.

Anonymous said...

Jamani haya mambo ni kweli kabisa na kama teknolojia inavyofunga mota na wachawi nao wanaongeza juhudi sasa wameingilia watoto wadogo kuwafundisha uchawi.Swali la kuiuliza kam ni kichaa kichwa cha mtoto kakitoa wapi? Kun mtoto aliye kwisha ripitowa amepotea hiv karibuni na kama niyupo je ni wa Dar? matukio mengi ya hawa wanga kuanguka na watu kusema ni vichaa ndio yanapelekea wao kutumia kigezo cha ukichaa kama fimbo. Wakimuuliza vizuri au wampeleke akaombewe atasema tu. Sasa hivi jeshi la polisi wanaolinda usalam wa raia wathink outside the box kama wa marekani wanotumia wale psycho something nimesahau jina lake ku locate watu waliopotea wanodhaniwa kuwa wamekufa walio commit crimes ama upatikanaji wa miili iliyoptea.Tatizo wengi we tu ni waoga (pamoja na mimi) tuanweza kuona kitu kibaya tunanyamaza kimya, kuna watu wana vipawa vya kuombea wakapata maono lakini wasiwasi wangu kuna wengine watasingiziana hata kama si kweli

Anonymous said...

Subhanalwah, haya mambo makubwa,Mungu ampe wepesi na mwenye kupata nafuu inshallah. AMEN>

Anonymous said...

Mi naona Mungu anataka kumwokoa huyu mtoto, ndio maana anaanguka kila wakati, mara kwa Pastor Getrude ambapo ni kanisani etc. Mungu anamtaka huyu mtoto. It will take sometime, but God is going to show his Almighty Name Exists.

Anonymous said...

Chemi basi ondoa hiyo picha ya kichwa cha mtoto. I am not sure what do other people think hata kama umetoa ilani.

Anonymous said...

dada chemi mimi mmoja wa wadau wako naungana na mdau mwingine tunaomba uiondoe hiyo picha ya kichwa please dear.

Anonymous said...

mbona umebania comment yangu wewe chemi mbona watanzania hamtaki ukweli mkisifiwa ndio mnatoa hadharani na sisitiza tunaomba uwe unaleta news za kutafuta mwenyewe sio za blog nyingine please it doesnt make any sense unaweka vitu tulivyoona jana kwa wenzio wewe unaweka leo

Anonymous said...

serikali haiamini mambo ya uchawi/ushirikina.wajameni unaweza usiamini lkn huyo mtoto amefanya mabalaa makubwa sana,siku hiyo hiyo aliokamatwa muhimbili kuna ajali mbaya ilitokea maeneo ya jangwani watu walikatika baadhi ya viungo vyao vikiwemo mikono,huyu mtoto wakati anapewa kibano alisema kuwa kuna ajali imetokea jangwani mda huo na yeye ndo ameisabaisha,wakati akisema hayo muhimbili watu wanapata taarifa kuwa kuna ajali mbaya imetokea maeneo ya jangwani muda huo huo.
binadamu hatuwezi kushindana na Mungu huyu mtoto alianguka kanisani mikocheni kwa Dr Mh Getrude Rwakatare,walitaka kumfanyia maombi deliverance,watu wakafanya fitna kwa kusema kwamba hao watoto ni ombaomba wa mjini hapa,huwa wanafanya usanii.hivyo mh Rwakatare anakata umaarufu,ndo matokeo yake hayo sasa,inasikitisha sana jamani,wajameni tusali na tumuogope Mungu

Anonymous said...

dada chemi huyo Ramadhani sio kichaa ni mchawi msitupotoshe,alishapimwa muhimbili na mwenzie hapo awali wakati ameanguka kutoka kwenye ungo kanisani mikocheni kwa Dr Mh Rwakatare,akaonekana mzima,mtoto huyo ana nguvu za giza,maombi ndo yatamfungua huyo kutoka kwenye uchawi na si vinginevyo in Jesus name AMEN

Anonymous said...

oh inasikitisha sana jamni waombe sana kwa sala huyu kijana anashida ya kuwa karibu na bwana yesu ndio maana anashikwa kila mara ,hii picha ya kichwa cha mtoto inasikitisha sana ,,,,,,,,,in jesus name it will not happen .mungu alilaze roho ya marehemu mtoto huyo ameni.

Anonymous said...

Huyu mtoto ni mchawi full stop, dawa yake kwa kweli ni kifo tu ili kuwaonya wachawi wenzie tukiwakamata tu na wenyewe chinja tu, atumiaye upanga atakufa kwa upanya its in the bible!!!!
This is Unbeleavable nashangaa mnamuweka wa nini wachawi wenzie watakuja wamuibe na hawatoacha hawatokoma washenzi kabisa hawa yani nimepata gathabu i wish i was there in Dar, i could have done something, like i said ACHINJWE huyu mtoto si kichaa ni mchawi!!
What the fuck!?