Friday, April 11, 2008

Klabu ya Ngono Dar



Hii picha nimeona kwenye Mjengwa Blog

Mbona klabu za namna hiyo zilikuwepo tangu enzi za Mkoloni hasa kwa wahindi na wazungu! Leo ndo wanatoboa habari kwa umma!

4 comments:

Anonymous said...

wewe chemi ulijuaje kuna hizi club au member

Chemi Che-Mponda said...

Mimi ningekuwa memba namna gani? Zilikuwa gentleman's club. Hayo ni mambo ambayo yalikuwa yanaongelewa chinichini. Nafahamu moja ilikuwa City Centre, Moja ilikuwa Kariakoo (mabinti mashombe - mixed).

William said...

Jama , mie mbumbumbu kwa Kiswahili; klabu ya ngono manake nini hasa: sex shop au danguro? Nieleweshe tafadhali da Chemi, bila kunicheka.

Chemi Che-Mponda said...

Ndiyo ni Sex Club.