Monday, April 14, 2008

Msiba - Mzee Kibodya


Tunawaarifu msiba mzito uliotokea Dodoma, Tanzania, kwa kufiwa na baba yetu mzazi Alhaj mzee Abdallah Mkambavange Kibodya (pichani) aliyefariki dunia leo Jumapili tarehe 13 April 2008.

Mazishi yatafanyika huko Dodoma, Tanzania Jumatatu tarehe 14 April,2008 baada ya salat Asr.
Kwa hapa Marekani kilio kiko nyumbani kwa bwana Isaac Kibodya:
7 Upper Church Street,
Apt # 213
West Springfield,
Mass 01089

Kwa kutoa mkono wa pole tafadhali wasiliana na wafiwa:

Isaac Kibodya 413.209.8666 (nyumbani) 413.219.1153 (simu ya mkono)
Ahmad Mkambavange Kibodya 413.221.2935 (simu ya mkono)
Mohamed Kibodya 413.273.4591 (simu ya mkono)
Omar Kibodya 413.330.2007 (simu ya mkono)
Khalfan Kibodya 44.780.961.7416 (simu ya mkono)
Msemwa Kibodya 214.916.0879 (simu ya mkono)
Zainab Kibodya 832.208.0316 (simu ya mkono)
Albert Kiputa 413.208.0033 (simu ya mkono)
Severine Kiputa 413.306.2109 (simu ya mkono)

3 comments:

Simon Kitururu said...

R.I.P Mzee Kibodya. Poleni sana Ndugu na jamaa wa Marehemu!

Anonymous said...

Poleni sana familia ya Kibodya.

Anonymous said...

Innalillah Wainailahirajiun!

Poleni sana Familia ya Mzee Kibodya! Mola ailaze roho yake mahala pema peponi. Amin.