Wednesday, April 02, 2008

Kwa Heri Mzee Mugabe!!!!


Habari kutoka Zimbabbwe zinasema kuwa Mzee Robert Mugabe ambaye amekuwa rais wa Zimbabwe kwa miaka mingi mno, ameshindwa vibaya katika uchaguzi wa Rais. Mugabe amekuwa Rais wa Zimbabwe tangu nchi hiyo ipate uhuru mwaka 1980.
*****************************************
Kwa habari zaidi someni:

8 comments:

Anonymous said...

we da chemi angalia maneno yako hii ni afrika akiwa ameshinda je!

Chemi Che-Mponda said...

Kama atashinda nitaandika kuwa kashinda. Kwa sasa kashindwa.

Anonymous said...

Chemi huo ndio uandishi wa habari endelevu na usiopendelea na wenye kutaarifu habri ya kweli na ile ya sasa kama vile invyotokea na inapobadilika unaendelea kutaarifu kile kilichobadilika
safi saana .wewe ni mwandishi wa habri wa kweli.
Pole sana uliyetoa maoni hapao juu sio kosa lako bali ni la utamaduni mzima wa kiunafiki wa sisi watanzania ambao umeughubika fanai ya uandishi huku nyumbani openness kwa maana halisi bila kutia chumvi hapa nyumbani ni hatari na ni kinyume na maadaili kwa ujumla na kwa wastani hivyo uandishi (si wote though) umegubikwa na fear sio ya chochote bali maadili,na utamaduni wetu wa kusema kwamba mtot wa mengi amekufa baada ya kuugua muda mrefu badala ya kutaarifu kuwa amekufa kwa ukimwi(huu ni mfano tuu) na japo mtoa taarifa an authenticted and undisputed sources of information
lakini kuna wachache siku hizi wanaanza ule uandishi wa kweli na ninawafurahia sana
hongera chemi
Raceznobar

Anonymous said...

Kashindwa vipi?Chama chake ndio kimeshindwa bungeni.Uraisi matokeo bado Chemi.Hata hizo links ulizozitoa zinaonyesha hivyo..au hujazisoma?

Anonymous said...

Jamani! Sasa huyo Mugabe aende akastaafu amalize siku zake duniani kwa amani. Asipotoka mbona maelfu ya wazimbabwe watakufa! Mugabe badala ya kuwa kiongzi mwenye heshima amekuwa ni kichekesho.

Anonymous said...

Kwa Mugabe! Good-Bye Mugabe! A new Era is dawning for our country.

HAMBA KAHLE MUGABE!

Anonymous said...

africa is not totally independent that why whoever the west dislike for their own interest can not be elected as president in africa, the bottom line is zimbabwe economic crisis has been caused by economic embargo imposed by the west, nevertheless mugabe has a big chunk on it.

Anonymous said...

Mugabe is Power Drunk! He needs to GO!