Monday, April 07, 2008

Bongoland II - Viewer Comments

3 comments:

Anonymous said...

Hongera sana da chemi na mr. kibira, tunataka vitu kama hivyo kwani vinasaidia ku-promote nchi yetu. sijaiona ila nashauri movie iwe ina-include vivutio kama mt. kilimanjaro, serengeti national park n.k kwa ajili ya promotion. big up guys!!!

Anonymous said...

hawa wanigeria mmewalipa dola ngapi kutoa maoni?

Anonymous said...

Wewe anony wa 7:28 mbona ni wabongo na wakenya hao!