Monday, April 14, 2008

Twende tukaogelee!


Vijana wakienda kuogelea huko Ziwa Tanganyika mwaka 1930. Picha kutoka 'Phtography and Image' Blog
Nakumbuka kuona vijana wakienda kuogelea hivyo uchi, huko kwetu Ziwa Nyasa.

2 comments:

Anonymous said...

Nimekumbuka mbali leo!

Anonymous said...

aaaaaaaaaaaa mtoto wa kimanda 'mwonili wenga' naona unakula maraha tu huko kwa 'mama' tukumbuke basi nasisi wahapa Nsungu jua kali sana vitui havipatikani na mbelele ndo kabisa hakuna ila "ugwali wa mayau na likolo"tafsiri- ugali wa muhogo na kisamvu, ndo kwa wingi