Monday, April 14, 2008

Azaliwa na nyuso mbili


Mother Sushma holds her daughter Lali at their residence in Saini Sunpura, 50 kilometers (31 miles) east of New Delhi, India, Tuesday, April 8, 2008. The baby with two faces, two noses, two pairs of lips and two pairs of eyes was born on March 11 in a northern Indian village, where she is doing well and is being worshipped as the reincarnation of a Hindu goddess, her father said Tuesday. (AP Photo/Gurinder Osan)
********************************************************************
Mungu ambariki huyo mtoto. Mwili moja, uso mbili. Sijui ana ubongo ngapi. Sasa huko Tanzania mtoto kama huyo angezaliwa sijui tungesemaje.
Navyojua mimi kwa mimi za zamani, hao waliomzalisha mama yake wangemnyonga hapohapo.

4 comments:

Anonymous said...

Samahani, hivi hawa waliokuwa wanawauwa watoto ni wakatili au walikuwa wanawasaidia wasipate taabu. Maana kwa nchi zetu masikini, hakuna vifaa vya walemavu hivyo mimi naona kama ulikuwa msaada tu. Naomba ushauri

Anonymous said...

Naona Chemi umeanza kusahau Kiswahili, andika "Azaliwa na nyuso mbili" sio "Azaliwa na uso mbili" Tehetehetehe

Chemi Che-Mponda said...

Nilivyoelezwa ni hivi. Kwanza mtoto angepata taabu maishani mwake. Pia ilikuwa njia ya kuua mbegu mbaya na magonjwa ya kurithi. Ukifikiria maisha ya zamani kama ulikuwa na kilema cha ajabu maisha yangekuwa taabu, afadhali ya siku hizikuna magari na vifaa vya kuwasaidia. Wakoloni ndo walistopisha hiyo tabia mbaya ya kuua watoto wenye kasoro.

Anonymous said...

Ok, nashukuru kwa majibu mazuri, na kurekebisha kichwa cha habari. Ninachoshukuru ni kwamba ninaongea na mtu aliyekaa kwenye fani ya habari muda mrefu, ndio maana unaelewa sana. Hongera dada yetu Chemi