Thursday, April 03, 2008

Hitma ya Adulhameed Bafagih ni Jumamosi April, 5 NYC


Hitma ya Abdulhameed Bafagih Jumamosi hii

Kwa niaba yangu na kwa niaba ya ndugu, jamaa na marafiki wa Abdulhameed Bafagih, napenda kuwataarifu kuwa tutakuwa na hitma ya kumuombea marehemu (kwa both wanawake na wanaume) ambayo itafanyika siku ya jumamosi April 5th, 2008 saa kumi na nusu jioni
nyumbani kwa KHAMIS KHAMIS NA HAMIDA ALI na address yao ni 107-22 77th STREET OZONE PARK-NY-11417 kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

ASYA-718-288-8895
OR 718-638-3920
KHAMIS KHAMIS-347-233-0697
HAJJI-347-623-8965
MOZA- 347-627-3001 OR 646-462-6179BI
MOSI-718-277-3803
ZAINAB-718-964-1560 OR 646-316-5401
Tafadhali wafahamisheni wenzetu popote walipo.
Ahsanteni sana.

Katty.NYC.
****************************************************************
Kwa niaba yangu na kwa niaba ya familia, ndugu,jamaa na marafiki wa Abdulhameed Bafagih, nasikitika kuwafahamisha kifo cha mpendwa wetu, kaka yetu, mwenzetu, rafiki yetu Abdulhameed Bafagih, kilichotokea Jumatatu March 31st, 2008 majira ya baina ya saa nane na saa tisa na nusu mchana, katika Hospital ya Interfaith Brooklyn New York baada ya kuuguwa kwa muda mfupi.

Sala ya maiti itasaliwa leo baada ya salat Maghrib. Masjid Taqwa, Brooklyn-New York, na maziko yatakuwa kesho saa nne asubuhi katikamakaburi ya waislam yaliyopo New Jersey.
Hakika sisi sote tunatoka kwa Allah na kwa yeye ndio marejeo yetu,naomba tumuombee marehemu safari ya kheri na Mungu amuondoshee adhabu zakaburi na za kesho akhera, ameen.
Nasi tuliobaki Mungu atupe mwisho mwema. Ameen.

Kutakuwa na hitma kwa upande wa wanawake ambayo tutamuombea dua mwenzetu na kaka yetu, inatarajiwa kuwa Jumamosi april 5th saa nane mchana Brooklyn new york.
Kwa maelezo zaidi tutawasiliana.

Tafadhali wafahamishe watanzania wenzetu habari hizi .
Ahsanteni sanawenu

Katty
NYC.

1 comment:

Anonymous said...

Rest in Peace Kaka.

Inalilahi wa inalilahi rajiun.