Thursday, April 17, 2008

Ngono ni Sanaa - Dinahicious Blog (Wakubwa)


Kuna watu ambao watasema nina mawazao machafu, kwa nini nabandika habari ya ngono hapa. Tupende, tusipende ngono ni sehemu ya maisha yetu. Ndivyo bindamu walivyoumbwa. Mtu atasema oh, mimi simo, kumbe ndo mwenyewe kwa mambo!

Ninamsifu Dada Dinah kwa kuongea kwa uwazi kabisa mambo nyeti. Mambo anayoongelea yatasaidia na yanasaidia watu katika mapenzi, hata kumfudisha mke au mume jinsi ya kumfurahisha mwenzie wasitembee nje ya ndoa. Kuna ushauri mzuri kwa wanawake na wanaume, wazee na vijana kule.

Kuna habari ya jinsi ya kufanya matendo ya kumfurahisha mpenzi wako, habari ya kuzuia mimba, na habari nyingi tu, pia anajibu maswali ya wasomaji.

Hivyo ukitaka ushauri mzuri kabisa kuhusu ngono tembeleeni Dada Dinah, huko (BOFYA) DINAHICIOUS BLOG. Hongera Dada Dinah!

Someni sampuli ya mambo kule...

*************************************************************Kufanya mapenzi/ngono na mpenzi wako ni sanaa, tuchukulie sanaa ya urembaji. Huitaji kwenda shule/darasani ili ujue jinsi ya kuremba au kujiremba bali unakwenda shule ili uwe na Cheti kinachotambulika ili uweze kukitumia kutafutia kazi napengine kuaminiwa na Muajiri au Mteja wako.Sidhani kuna mtu anataka cheti cha kufanya ngono ei?
Kuna yeyote anahitaji cheti hicho ili a-ambatanishe wakati mwanaume anamtokea? Hahahahhaha sidhani!Sanaa ya urembo huanzia kwako mwenyewe, unajaribu wanja unakaa vibaya unafuta unapaka tena mpaka unaona sasa umekaa sawia, hali kadhalika unapaka rangi hii ya mdomo inakuwa haiendani na umbile la midomo yake unapaka nyingine mpaka unagundua rangi/aina gani inafaa kupakwa midomoni mwako sio?

Hali kadhalika poda na “foundation”.Sasa hata Ngono inatakiwa ijaribiwe hivyo na wewe mwanamke mwenyewe. Kwanza unatakiwa kuujua mwili wako na umbile lako huko chini, eti wengine hujiogopa nakusema linatisha au limekaa vibaya (hii ilikuwa wakati ule tuko wadogo tusijichungulie wala kujigusa nahatimae kuondoa bikira) ukishaanza kuingiziwa dude huna haja ya kujiogopa.

Kuna baadhi ya wanawake hawajui kabisa Kuma zao zimekaa vipi na hata mpenzi wake haruhusiwi kuona, vilevile kuna baadhi ya wanaume ambao wanadhani kuwa mwanamke anatundu mbili kule chini moja ni ya mkojo na nyingine ni yakutumbukiza mboo na hujidanganya kwa kusema “ukibahatisha kutia tundu la kutolea mkojo ndio mwanamke anafika haraka”…..nafikiri huwa wanamaanisha kisimi mana’ke kitindu cha mkojo kiko chini kidogo ya kisimi.

Vilevile kuna baadhi ya watu ambao wanaamini sana msemo huu “bucha zote nyama ni ileile”…hey sio kweli nyama zinatofautiana kwa kiasi kikubwa na hata utamu hutofautiana na hii hutegemea zaidi na uwazi wa muhusika pia ufurahiaji wa mwanamke anapofanywa na mpenzi wake ambao sio wa uongo (Fake)…(nitalizungumzia hili siku nyingine).

Sikiliza dada/mama mpendwa nikwambie, uke ni kitu cha thamania mbacho mungu ametujaalia, uke unasura nzuri na ndio mana waume/wapenzi wetu hupenda kuangalia na wengine kucheza nayo, huenda ni kweli haikuvutii lakini kumbuka kuwa huitaji kuvutiwa kwani wewe ni mwanamke hivyo unatakiwa kuvutiwa na uume.
Sasa ili ujijue unatakiwa kucheza na mwili wako wakati mpenzi wako hayupo au pale unapokuwa na muda basi jitafutie faragha kisha tumia kioo jichunguze, cheza na maumbile yako, jiguse, jiangalie ukinyegeka basi jichue (usitumie sanamu bali mkono yako) na hakikisha unajua umegusa wapi ambapo pamekufanya ujisikie hivyo ulivyojisikia (kama vipi andika kabisa kwenye karatazi) fanya hivyo kila unapopata muda badala ya kusoma au sikiliza habari za kidaku.

Kumbuka sisi wanawake tunatofautiana sana ukiachilia mbali kitabia, maumbile namuonekano pia tunatofautiana jinsi ya kufurahia ngono/mapenzi hivyo usitegemee mpenzi wako akufanyie vile anavyoujua mwili wa Fulani na Fulani mwambie akufanye vile wewe unapenda.Nitaendelea mida-mida na maelezo haya naona kuna mtu ananisumbua hapa…….

Tena:Nisamehe kwa kiswahili changu kibovu!

21 comments:

Anonymous said...

Da Chemi, naona Dinnah ametudhalilisha wanaume, kwanini mboo zetu aziite MADUDE? Halafu Kuma zenu hakuziita madude?! Dude ni kitu kisicho thamani (useless)!

"Call a spade a spade, not a big spoon"

Anonymous said...

Yaliosemwa kwa Dinah ni mazito lakini mazuri. Mimi siyo mtoto mdogo, ninatoa shukurani kwako na kwa Dinah!

Anonymous said...

Do men like women to initiate sex or do they prefer to?

As long as there is a reasonable degree of mutual pleasure and some allowance made for the man's pleasure and dignity, I doubt that many men would resent female sexual initiative. Sex is a team effort. Everyone should contribute and take an active role in ensuring the maximum achievable output. So, it's great if a woman initiates activities. If it's something she likes or wants to try, it won't happen unless she steps up to the plate.

As for what specific approaches to take, that will come with experience. It doesn't take much to get a guy going. Here are a few suggestions.
Reach out and touch someone
Take matters into your own hands
Climb aboard and take a ride

Anonymous said...

huyu demu dinah anazingua tu

Anonymous said...

Da Chemi sasa unatuwekea nini tena? Nami nasema asante.

Anonymous said...

TYPES OF KISSING

Below you will find a variety of kiss types. If you find some that catch your fancy, feel free to try them :-)

Butterfly Kiss - With your faces less than a breath away, open and close your eyelids against your partners. If done correctly, the fluttering sensation will match the one in your heart.

Cheek Kiss - A friendly, "I really like you" kiss. Often the preferred kissing method of a first date. With your hands on your partner's shoulders, gently brush your lips across her cheek.

Earlobe Kiss - Gently sip and suck the earlobe. Avoid louder sucking noises as ears are sensitized noise detectors.

Eskimo Kiss - With your faces less than a breath apart, gently rub your noses together.

Eye Kiss - Hold your partner's head with both hands and slowly move their head in the direction you wish your kiss to go... then slowly kiss up towards your partner's eyes and give them a tender kiss on top of their closed eyes.

Eyelid Kiss - While your partner is resting/sleeping with eyes closed, very very gently kiss the spot right below their browbone. A very intimate kiss.

Finger Kiss - While laying together gently suck on their fingers. This can be very seductive and pleasurable.

Foot Kiss - An erotic and romantic gesture. It may tickle, but relax and enjoy it! To give a toe kiss by gently suck the toes and then lightly kissing the foot. It helps to gently massage the base of the foot while performing the kiss.

Forehead Kiss - The "motherly" kiss or "just friends" kiss. The forehead kiss can be a comforting kiss to anyone. Simply brush your lips lightly across the crown of their head.

Freeze Kiss (or Melt Kiss) - Experiment with this fun kiss. Put a small piece of ice in your mouth, then open mouth and kiss your partner, passing them the ice with your tongue. It's an erotic and sensual french kiss with a twist of cold.

French Kiss - The kiss involving the tongue. Some call this the "Soul Kiss" because the life and soul are thought to pass through the mouth's breath in the exchange across tongues. Surprisingly, the French call this "The English Kiss".

Fruity Kiss - Take a small piece of fruit and place between your lips (juicy fruits such as grapes, strawberries, small pieces of pineapple or mango are ideal). Kiss your partner and nibble one half of the piece of fruit while they nibble the other until it breaks in half, allowing the juice to run into your mouths.

Hand Kiss - Gently raise her hand to your lips. Lightly brush your lips across the top of her hand. Historically this kiss was performed with a bow, which showed deference to a lady.

Hickey Kiss - The object is not to draw blood, but to gently leave a mark that will prove your interlude was not a dream. This is often included in erotic foreplay.

Hostage Kiss - Cover your lips with tape and get your love's attention. When they come near, make noises like you're trying to tell them something and motion as if you can't get the tape off. Once they remove the tape from you to hear what you're trying to say tell them: "I've been saving my lips all day just for you!" Then kiss your love passionately!

Hot and Cold Kiss - Lick your partner's lips so that they're warm, and then gently blow on them. The sudden cold blast makes for a sensual explosion, and they will often try it on you next, as well as get very passionate.

Mistletoe Kiss - Surprise your lover by capturing them with a gentle holiday kiss under the mistletoe. This is also a good method for shyer individuals to steal a kiss from a potential lover.

Letter Kiss - Send your lover a kiss in a love letter by writing the letter x several times in a row at the bottom of a letter such as XXXXX.

Lick Kiss - Just before kissing, gently run your tongue along you partners lip whether it be the top or bottom one depending on the position of your lips. Very sensual.

Lip Sucking Kiss - When kissing gently suck on their lower lip. This can be very exciting.

Neck Nibble Kiss - Gently nibble up and down your partners neck. End with a gentle kiss on the lips.

Nip Kiss - This kiss can create a very erotic sensation. While kissing your partner, ever so gently nibble on their lips. You must be very careful not to bite to hard or hurt your partner. When done correctly, this kiss ignites wonderful sensations.

Reverse Lips Kiss - It involves standing above your lover and kissing them from over their head. This way, each kisser can take the hyper-sensitive bottom lip of thier lover in their mouths, and GENTLY draw blood to the surface of the lip by nibbling and sucking. A very sensuous, connecting kiss.

Searching The Cavern - Use the lips and tongue to gently tickle and kiss your lover's navel. Vary speeds and stroke to change sensation. Invigorating and intoxicating.

Shoulder Kiss - Simply come from behind, embrace her, and kiss the top of her shoulder. This is a sensual, loving kiss.

Sip Kiss - Take a small sip of your favorite drink. Leaving a little bit of it on your lips, kiss your partner. It is a unique way to create a sensual feeling and your partner will enjoy it.

Talking Kiss - Whisper sweet nothings into your partner's mouth. If caught in the act, simply say as Chico Marx, "I wasn't kissing her. I was whispering into her mouth."

Teaser Kiss - Starting on the forehead, a sweet short kiss on lips, then move up the arms up to her hand, kiss her hand, then come back up her arm, to her face and then lightly kiss her lips till she wants a passionate kiss.

The Buzzing Kiss - Gently place your lips against your lover's neck , behind their ear. Now, send a shudder through their skin by gently growling and humming, vibrating your lips and cheeks as you do so. Move up and down the neck, over the bones of the face and lips. Stimulating and erotic when done correctly.

The Whipped Cream Kiss - Dip your finger into some cool whip or whipped cream of your choice. Lick it off slowly, then embrace your partner and kiss them deeply letting their tongue slip over yours for a wonderfully sweet kiss. It's very seductive and passionate.

Tiger Kiss - Quietly sneak up behind your partner making sure they do not know what you are going to do. Out of the blue, grab them and gently bite their neck. Make sure to get a few good growls in too. This will surely surprise them.

Trickle Kiss - Take a sip of a favourite drink and trickle it slowly into partner's mouth while kissing.

Tongue Sucking - A variation of the French kiss. During an open-mouth kiss gently suck on your partner's tongue (not too hard because it may hurt). Very sexy :-)

Quickie Kiss - When you're in a rush. Often the nose gets it rather than the lips.

Vacuum Kiss - While kissing open-mouthed, slightly suck in as if you were sucking the air from your partners mouth. This is a playful kiss.

Wake Up Kiss - Before your partner awakes lean over and kiss their cheek and move over giving soft kisses until you reach their lips. Definitely a more than pleasant way to wake up!

Anonymous said...

Huyu Dina vipi ? Anasema watu wachukue kioo wajitizame na kuchezea nyeti zao? Naona bora akajifunze tena masuala ya ngono.

Anonymous said...

Kuna wanaume kweli ambao wanasema mwanamke ana tundu mbili anatafuta sehemu ya kumwingia? Dada dina fanya tena utafiti, ujue sisi wanaume tuna vichwa viwili na macho manne na wala hatuhitaji tochi kuingia. Kwa hapo nimekupa zero bin sifuri.

Anonymous said...

huyu dina nyege zake ndo zinamsumbua akipata mtu wa kumtuliza atakua
ana bahati yuko bongo, angekuwa unyamwezini angerekebishwa na kiblog chake hakina hata disclamier na anajaza uchafu tu hajui watoto wanaweza pitia huko bila disclamier wanajikuta wanasoma wasivyotakiwa kusoma

Anonymous said...

Hamna hata la maana hapa zaidi ya kufundisha watu ufuska, umwambie mtu ajitazame kwenye kioo then ajitie vidole loooh! kwani wanaume hamna.
Haya uliyoweka hapa ni mambo nyeti sana na yanapaswa kupelekwa kwenye kitchen party hukooo.
Peleka ukungwi wako kwenye kitchen party si hapa.
Kumbuka hata watoto wanapitia blog hizi.

Anonymous said...

huyu dina ni mtambo

Anonymous said...

da chemi mlete hapa aje ajibu tuhuma hizi..kule kwake tukimtumiaga anafuta haweki

Dinah said...

Da' Chemi shukurani na wachangiaji wote asanteni na kwa moyo mkunjufu kabisa naheshimu maoni yenu yaliyowazi kabisa.

Anonymous said...

dina bado hujajibu shutuma,umetoa tu asante..unaliongeleaje hili swala la wewe kujihusisha na habari za kingoningono..maaana kule kwako hutupi nafasi au rekebisha basi kiswahili kidogo hua unaandika maneno makali shostiiii

Anonymous said...

hey dina u r doin a great thing, Big up!!! ngono ni sehemu ya maisha ya binadamu, kwa hiyo si kitu kibaya kuwapa wenzio machache uliyo nayo kusudi kila mtu afurahie maisha.

mimi nakufagilia, kwa vile napenda kufurahia ngono...... napenda sana.

Anonymous said...

SISTER CHEMI HEBU WAAMBIE HAO WACHANGIA MAADA WASOME VIZURI KITU NA KUKIELEWA!!
WATU WENGINE WAMEKUA WAKIKURUPUKA KUJIBU AU KUTUMA MAONI KATIKA VITU AMBAVYO HAWAKUVIELEWA!!AU INAWEZEKANA HUU NI WIVU WA BAADHI YA WATU HASA WANAWAKE NA KUJIFANYA WANAUME NA KUANZA KUANDIKA VISIVYO NA MBELE WALA NYUMA!!
KWANZA KABISA NAPENDA JUMPA HONGERA!!DINAH ANAJARIBU SANA KUFUNDISHA WATU NA KUNUSURU WATU MAHUSIANO YAO HASA KUTOKA NJE YA NDOA NA KUTUEPUSHA KTK JANGA LA UKIMWI.
MTU ANASEMA ETI KUNAWATOTO WANAINGIA HUMU!!UKIONA MTOTO KAINGIA HUMU NA KAENDELEA KUSOMA HUYO SIO MTOTO TENA BALI NI MTU MZIMA!!KWANI MTOTO ALIEPATA MAFUNZO HATA USIPO MSIMAMIA HATOFANYA KILE ULICHOMWELIMISHA.IKUMBUKWE AFRICA HASA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA UKIMWI UMEENEA KWA WATU KUTOKUA NA ELIMU NA UMASKINI!!SASA MNAPEWA ELIMU ILIMJUE NINI MNATAKIWA KUFANYA MNAPIGA KELELE!!
IKUMBUKWE HAO WATOTO MNAOSEMA WATAINGIA HUKU NDIO WALIOARIBIKIWA KULIKO NA KUDAKA MARADHI KULIKO WATOTO WANAJUA NA KUPATA ELIMU MFANO HUKU ULAYA NA KWENGINE!!KWAKUA WANAJUA NAMNA YA KUJILINDA!!PIA HUKO TZ.WATOTO WAMEKUA WAKIANZA MAPENZI WADOGO MNO!!WAZAZI WAO WAMEKUA WAKIONA AIBU AU KUOGOPA KUWAPA ELIMU YA NGONO SALAMA KWA KUOGOPA KUWAARIBU MATOKEO YAKE HAWAJUI KUA WATOTO WAO NI MAGWIJI NA BAADAE KUPATA MARADHI KAMA UKIMWI.
PIA DINAH HAKUSEMA WANAWAKE WAJICHUE ILIKUJIKIZI ILA IWE NI MOJA YA YEYE KUJIJUA NA KUEPMROVE AKIKUTANA NA MPENZI WAKE.
TUSOME NA KUVIELEWA VITU,PIA TUELIMIKE NA KUJITAHIDI KUEPUKA WAPENZI WENU WASITOKE NJEE KWA UZOBA WAKO USIOTAKA KUELIMI!!WEWE NAWEZA KUKUITA CONVERVATIVE USIE TAKA KUBADILIKA UKIJUA UKE AMA UUME WAKO NDIO STAREHE PEKEE YA MPENZI WAKO.
NINGEPENDA KUMPA DINAH HONGERA AACHANE NA MIDOMO MICHAFU YA WATZ.WASIOTAKA KUKUBALI MTU ANACHOKIFANYA HASA WKT HUU WA KUJILINDA NA JANGA LA UKIMWI INAWEZEKANA CHANZO NI SISI WENYEWE KWA KUTOKA AMA KUGANYWA NA MPENZI WAKO KWA KUTOKUJUA KWAKO MAMBO
BY.mdurban2@hotmailcom

Kazungu Samuel said...

Kile ambacho nimeona katika maoni ya wengi Da Chemi ni kuwa walichukulia kwa wepesi suala ambalo Dina alikuwa akiliongelea bila kufanya fikra pana kuhusu mada yenyewe.Kimsingi naona huyu mwanadada alikuwa ana alama fulani alikuwa akitaka kuziweka lakini tatizo ni kuwa alichukua muda mchache au nafasi ndogo tu.Lakini ikiwa Dina anataka kuwahakikishia wasomaji kuhusu mada yake,basi hana budi kuendelea kutoa ufafanuzi zaidi.Yangu ni hayo.

kazungu06@hotmail.com

Anonymous said...

Dinah.....Mi napiga bao kwa dakika chache almost tatu au nne, asa nifanyeje ili niweze kupiga bao kwa dakika nyingi kama 45 minutes au 30 minutes hivi....? one bao

Anonymous said...

sasa wewe unaetaka kukojoa baada ya nusu saa si unataka kuumia kiuno,dakika nne au tano,ni muda mzuri tu.

Anonymous said...

sasa wewe unaetaka kukojoa baada ya nusu saa si unataka kuumia kiuno,dakika nne au tano,ni muda mzuri tu.

Anonymous said...

Umeitwa apa au pekuapekua zako zimekufikisha hapa.? Umenogewa, sema umenuna ajamalizia Lil...